пятница, 4 января 2013 г.

Rania Al Abdullah

Tarehe ya Kuzaliwa: 31 Agosti 1970
Mahali pa kuzaliwa: Kuwait
Location: Jordan
Raia: Palestina

Rania Al Abdullah Kiarabu: الملكة رانيا العبد الله‎ Rānyā al-‘abdu l-Lāhalizaliwa mnamo Agosti 31 1970. Yeye ni mke wa Mfalme Abdullah II wa nchi ya Jordan.

Yeye anachukuliwa mojawapo ya wanawake majabari kote duniani. Rania ametumia nguvu zake kuhimiza umuhimu wa elimu.

Nchini Jordan, kazi yake inahusu kutathmini kiwango cha elimu ya wanafunzi, na akiwa nje ya nchi anawahimiza viongozi kuhusu elimu.


























Комментариев нет:

Отправить комментарий